TAARIFA KWA WANAFUNZI WA UDOM | LUKAZA BLOG

TAARIFA KWA WANAFUNZI WA UDOM

P.O. Box 259 DODOMA, TANZANIA Simu: +255-026-2323001 Nukushi:+255-026-2310011 BARUA PEPE: vc@udom.ac.tz Wavuti : www.udom.ac.tz ...

P.O. Box 259
DODOMA, TANZANIA
Simu: +255-026-2323001 Nukushi:+255-026-2310011 BARUA PEPE: vc@udom.ac.tz
Wavuti : www.udom.ac.tz
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI WA CHUO CHA SAYANSI ZA KOMPYUTA, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO CHUO KIKUU CHA DODOMA
WANAFUNZI WOTE WA SHAHADA ZA AWALI WA CHUO CHA SAYANSI ZA KOMPYUTA, TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO WALIOSIMAMISHWA MASOMO WANAJULISHWA KWAMBA WANATAKIWA KURUDI CHUONI NA KUFANYA USAJILI UPYA KAMA IFUATAVYO:-


MAHALI                             UWANJA WA  MICHEZO WA  JAMHURI, MJINI  DODOMA

WANAFUNZI                     WANAFUNZI  WOTE WA  SHAHADA ZA  AWALI
HUSIKA
 
SIKU                                   JUMATANO

TAREHE                              27/7/2011

MUDA WA                         SAA 2 ASUBUHI
KUANZA
 
MUDA WA                        SAA 10 JIONI
KUMALIZA
 
 • WANAFUNZI AMBAO WANADAIWA ADA, GHARAMA ZA MALAZI,

 • MITIHANI NA GHARAMA NYINGINE NI LAZIMA WALIPE MADENI HAYO KABLA YA KURUDI CHUONI.
 • · PIA KILA MWANAFUNZI ANATAKIWA KULIPA GHARAMA ZA USAJILI KIASI CHA SHILINGI 10,000/=.
 • MALIPO YOTE YAFANYIKE KABLA YA TAREHE 23/7/2011 KUPITIA AKAUNTI ZILIZOPO BENKI YA CRDB TAWI LA CHUO KIKUU CHA DODOMA KAMA IFUATAVYO:
ADA: 01J1082344900
MALAZI NA GHARAMA NYINGINE: 01J1083343300
GHARAMA ZA USAJILI: 0150221567400
 • KILA MWANAFUNZI NI LAZIMA AKAAPE KWA WAKILI KIAPO CHA UTII WA SHERIA NDOGONDOGO ZA WANAFUNZI ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA, SHERIA ZA CHUO KIKUU CHA DODOMA NA ZA NCHI.
 • KIAPO KIBANDIKWE PICHA MBILI (2) ZA ‘PASSPORT SIZE’. MOJA YA MZAZI/MLEZI WA MWANAFUNZI NA MOJA YA MWANAFUNZI. MUHUSIKA.
 • MWANAFUNZI ATAKAYEKIUKA KIAPO CHAKE ATAFUKUZWA CHUO MARA MOJA.

 • KILA MWANAFUNZI ANATAKIWA KUJA NA NAKALA HALISI ZA VITHIBITISHO VYA MALIPO YOTE YA ADA NA GHARAMA NYINGINE KUANZIA ALIPOANZA MASOMO. PIA NI LAZIMA AJE NA KITHIBITISHO CHA KIAPO CHA UTII.
 • MWANAFUNZI AMBAYE HATATIMIZA MASHARTI HAYA HATAPOKELEWA CHUONI.
 • MASOMO YATAANZA JUMATATU TAREHE 01/08/2011.
WANAFUNZI WAFUATAO HAWATAKIWI KURUDI CHUONI MPAKA WATAKAPOPEWA TAARIFA ZAO BINAFSI  NA MAMLAKA HUSIKA

1 KYAMBO, Erneus             Me            T/UDOM/2009/07876           BSc. CS 2
2 KAJUNA, Chrianus           Me            T/UDOM/2009/08482           BSc. TE 2
3 ELIAS, Jackson                 Me           T/UDOM/2009/07644           BSc. BI 2
4 GODREY, Godson             Me           T/UDOM/2009/08030           BSc. SE 2
5 MAKONO, Bakari M.      Me              T/UDOM/2009/07887           BSc. CS 2
6 KALUGIRA, Edger           Me            T/UDOM/2008/03881           BSc. IS 3
7 MUNAKU, Joseph            Me            T/UDOM/2008/06335          BSc. IS 3
8 MARCUS, John                Me             T/UDOM/2009/07690          BSc. CS 2
9 MUHARANGO, Magohu  Me              T/UDOM/2008/02034           BSc. CS 3
10 SAFARI, Lamsi               Me             T/UDOM/2010/00236            BSc.CE 1
11 GABRIEL, Perfect          Me             T/UDOM/2010/00395            BSc.IS 1
12 NTAMBI, Peter W.M.    Me           T/UDOM/2010/00228             BSc. CE 1
13 KALIMWENJUMA, Dismas R.  Me   T/UDOM/2010/00190           BSc. CE 1
14 CHISALUNI, Tobias M.             Me   T/UDOM/2010/00167          BSc. CE 1
15 LUCHELA, Issa H.                     Me   T/UDOM/2010/00202         BSc. CE 1
16 LAMECK, Charles N.                Me     T/UDOM/2010/00200         BSc. CE 1
17 MSUYA, Amani M.                    Me     T/UDOM/2010/00316         BSc. TE 1
18 FESTO, Hezron                        Me  T/UDOM/2009/07736        BSc. IS 2
19 TELESPHORY, Goodluck          Me    T/UDOM/2009/08020       BSc. TE 2
20 ROBERT, Anthony                       Me  T/UDOM/2009/08010        BSc. TE 2
21 MVUNGI, Joel                            Me    T/UDOM/2009/07804           BSc. IS 2
22 ISEME, Buyegi L.                          Me      T/UDOM/2008/01998          BSc. CS 3
23 BARUHUWUNDI, Pius              Me        T/UDOM/2008/03919        BSc. IS 3
24 KALABAMU, Liberatus            Me          T/UDOM/2008/03344      BSc. CS 3
25 SABUNI, Joseph                       Me          T/UDOM/2008/03734      BSc. CS 3
26 MINJAS, Denis                        Me                T/UDOM/2008/06331 BSc. IS 3
27 CHRIZOSTOM,
Thermistocles
Me T/UDOM/2008/06274 BSc. IS 3
28 DAVID, Senkoro Me T/UDOM/2008/06386 BSc. IS 3
29 MSHANGA, Joseph A. Me T/UDOM/2009/07695 BSc. CE 2
30 NADE, Edmund Me T/UDOM/2010/00325 BSc. TE 1
31 MBAGO, Hatibu Me T/UDOM/2009/07893 BSc. CS 2
32 MWACHA, Mohamed Me T/UDOM/2009/07699 BSc. CE 2
33 KAYOMBO, Bruno V. Me T/UDOM/2010/00107 BSc. SE 1
34 MABENA, Odilo Me T/UDOM/2009/08040 BSc. SE 2
35 BENJAMINI, Erasto Me T/UDOM/2010/05547 BSc. IS 1
36 MTEKETA, Novatus Me T/UDOM/2010/00425 BSc. IS 1
37 LUCAS, Alexander Me T/UDOM/2009/08513 BSc. IS 2
38 MMBAGA, Alfredy Me T/UDOM/2009/07793 BSc. IS 2
39 ERNEST, Patrick Me T/UDOM/2009/07856 BSc. CS 2
40 PARMAR, Nirav S. Me T/UDOM/2010/00380 BSc. HIS 1
41 MAKUKE, Masinde P. Me T/UDOM/2010/00130 BSc. IS 1
42 MWANDUMBYA,
Martin J.
Me T/UDOM/2008/07356 BSc. IS 3
43 MSANGA, Donard Me T/UDOM/2009/08051 BSc. SE 2
44 MESHACK, Mliwa Me T/UDOM/2009/08048 BSc. SE 2
45 MAFURU, Alphonce Me T/UDOM/2010/00030 BSc. CS 1
46 ELIESKIA, W. Msuya Me T/UDOM/2010/00116 BSc. SE 1
47 ROBERT, Anthony Me T/UDOM/2009/08010 BSc. TE 2
48 ANOLD, Chao K. Me T/UDOM/2010/00163 BSc. CE 1
49 MWAKATIMA, Wilson
Y.
Me T/UDOM/2009/07700 BSc. CE 2
50 JOSEPH, Japhet M. Me T/UDOM/2010/00182 BSc. CE 1
51 MSECHU, Julius J. Me T/UDOM/2008/0335 BSc. CS 3
52 MWAMBIJE, Nsubili              Me T/UDOM/2010/00220 BSc. CE 1
53 BRITISH, Frank                    Me   T/UDOM/2009/07666 BSc. CE 2
54 MADAI, Ali J.                         Me   T/UDOM/2009/07974 BSc. TE 2
55 MIKONGOLO, Rajabu H.     Me   T/UDOM/2010/00142 BSc. IS 1
56 KALABAMU, Victor N. Me T/UDOM/2009/07749 BSc. IS 2

IMETOLEWA NA OFISI YA MAKAMU MKUU WA CHUO
CHUO KIKUU CHA DODOMA
TAREHE 18/07/2011

Post a Comment Default Comments

 1. Mungu tubariki watoto wa informatics, tunafukuzwa na watawala kwa wao kutumia maneno ya kuambiwa kama kigezo.
  Haki zetu zinadhurumiwa,tukidai tunaonekana wakorofi, oush!

  ReplyDelete
 2. poleni sana jamani hayo ndo maisha wadogo zangu cha msingi someni ili nanyi baadaye muweze kutumi fursa hizo kufisadi kwani Tanzania bila ufisadi haiwezekani

  ReplyDelete
 3. Waswahili wanasema"iga ufe" na fikiri kabla kutenda"

  ReplyDelete
 4. For the innocent, his or her right is just there, it will only be delayed and not removed.

  ReplyDelete
 5. Napinga sana kwa mtu anayesema Tanzania bila ufisadi haiwezekani na mtu huyo hatufai ktk nchi yetu maana kama kwasasa kila lawama mnatupia serikali na nyinyi mnajiandaa kufisadi! you might be out of mind. Watanzania tusi danganyike vijana tukiamua tunaweza kutokomeza ufisadi watendeeni wengine mpendavyo kutendewa ninyi, acha imani potofu badili mtazamoooooooooooooooo......................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 6. Haya mashkaji lakini vepe bum.......

  ReplyDelete
 7. Tanzania hakuna amani ubahili na kuonewa ndo kumekisiri!!

  ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item