Wednesday, December 28, 2011

MKUTANO WA WANA KAGERA WAFANA

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akisisitiza jambo wakati wakiongea na wana kagera waishio nje wa mkoa huo alipokutana nao kujadili mstakabali wa maendeleo ya mkoa wa Kagera kwenye ukumbi wa hoteli ya Coffee iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
Mwandishi wa habari wa gazeti la uhuru, Angela Sebastian,(kulia) akiwa na baadhi ya wana kagera waishio Dar es salaam.
 
Mfanyabiashara Benny Mulokozi aishiye jijini Dar es salaam akitoa maelezo juu ya madhumuni ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na wazaliwa wa mkoa wa Kagera waishio Dar es salaam.
Waandishi wa habari ambao ni wazaliwa wa mkoa Kagera waishio nje hawakubaki nyumba, hapa ni Mwandishi wa habari wa Star TV, Angelo Mwoleka aishiye Arusha na mke wake.Picha Na Audax-Kagera.com

0 comments: