Wednesday, March 28, 2012

NAFASI KWA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO MWAKA 2012


Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji kwa mwaka 2012 yametangazwa na Kamishna wa Elimu ya Sekondari. Pamoja na majina hayo, ripoti pamoja na uchambuzi wa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne kwa mwaka 2011 imetolewa. 

icon Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha   Usimamizi wa Maji 2012- Wavulana
icon Wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha tano na Chuo cha Usimamizi wa Maji 2012- Wasichana

0 comments: