WANAFUNZI UDOM WAANZA KUCHEKA MARA BAADA YA MAJINA YA MKOPO KUTOKA | LUKAZA BLOG

WANAFUNZI UDOM WAANZA KUCHEKA MARA BAADA YA MAJINA YA MKOPO KUTOKA

Wanafunzi wa UDOM wakiwa Makini kuangalia majina yao kwaajili ya kuanza zoezi la kusaini na kupewa pesa zao za kujikimu  baada ya msoto w...

Wanafunzi wa UDOM wakiwa Makini kuangalia majina yao kwaajili ya kuanza zoezi la kusaini na kupewa pesa zao za kujikimu  baada ya msoto wa zaidi ya wiki tatu huku hali ikiwa mbaya chuoni hapa.Wanafunzi hao wameonekana kuwa na furaha na matumaini ya kupata pesa zao kutokana na kukaa zaidi ya wiki tatu bila kupata pesa zao  na kupelekea wanafunzi hao kuwa na maisha magumu.

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item