Wednesday, July 18, 2012

UPDATE YA AJALI YA MELI YA SKAGET HUKO CHUMBE ZANZIBAR

 Mfano wa meli ikiwa inazama.
................
Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Meli iliyozama ni meli ya Ya Skaget ambayo imezama Kilimote chache kabla hujafika Zanzibar katika Eneo la Chumbe Mpaka sasa Zoezi la Uokoaji linaendelea lakini Pia mpaka sasa idadi kamili ya watu waliopoteza maisha na kujeruhiwa bado haijafahamika 

Meli ya KLM, Vikosi vya KMKM na AZAM zipo eneo la tukio zikiendelea na Zoezi la uokoaji.

Lukaza Blog Itaendelea Kuwapa Taarifa Zaidi Kadri zinavyotufikia

Stay tuned @ LUKAZA BLOG

0 comments: