Mchezaji Mrisho Ngassa Atua Simba Sc na Kuungana na Wachezaji Wenzake Wa Simba Mazoezini | LUKAZA BLOG

Mchezaji Mrisho Ngassa Atua Simba Sc na Kuungana na Wachezaji Wenzake Wa Simba Mazoezini

 Karibu Ngassa tufanye kazi, maisha menyewe mafupi mshikaji"Kaseja",Ngassa hakuna shaka nimekaribia swaiba.   Aliyekuwa...

 Karibu Ngassa tufanye kazi, maisha menyewe mafupi mshikaji"Kaseja",Ngassa hakuna shaka nimekaribia swaiba. 
 Aliyekuwa mchezaji  wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake aliyokabidhiwa jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach kwa kuungana na wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya Azam,Simba na yeye kumalizika.Picha na Mdau Machellah

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item