Tuesday, November 20, 2012

BALOZI WA UGANDA AMUAGA RAIS DKT. SHEIN BAADA YA KUMALIZA MUDA WAKE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Bw.Ibrahim Mukiibi,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi wa Uganda Nchini Tanzania Bw.Ibrahim Mukiibi,alipofika leo Ikulu Mjini Zanzibar,kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

0 comments: