BREAKING NYUZZZZZ.......: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR | LUKAZA BLOG

BREAKING NYUZZZZZ.......: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR

MTU ANAESADIKIWA KUWA NDIE MUUAJI WA PADRI EVALIST MUSHI WA KANISA KATOLIKI,VISIWANI ZANZIBAR,AMEKAMATWA ALASILI HII MAENEO YA KARIA...


MTU ANAESADIKIWA KUWA NDIE MUUAJI WA PADRI EVALIST MUSHI WA KANISA KATOLIKI,VISIWANI ZANZIBAR,AMEKAMATWA ALASILI HII MAENEO YA KARIAKOO,ZANZIBAR.

JESHI LA POLISI LIMETHIBITISHA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA HUYO,NA KWENYE NAE KITUONI KWA AJILI YA MAHOJIANO ZAIDI.

PADRI MUSHI ALIUWAWA KWA KUPIGWA RISASI MWEZI ULIOPITWA WAKATI AKIWA KWENYE GARI LAKE KUELEKEA KANISANI KWENYE IBADA YA JUMAPILI.

GLOBU YA JAMII ITALETA TAARIFA KAMILI YA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA HUYO HAPO BAADAE KIDOGO.

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item