MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHISHWA UPYAAAA | LUKAZA BLOG

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHISHWA UPYAAAA

TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MW...

http://1.bp.blogspot.com/-7qFwN9eBGa4/UGqyL5ldL9I/AAAAAAAALfc/yiadF4qqQ40/s1600/NECTA(10).jpg

TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012,HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUFELI KATIKA HUO MTIHANI,PIA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU.

serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item