Afisa Mwandamizi wa SABMiller afanya ziara TBL Group nchini | LUKAZA BLOG

Afisa Mwandamizi wa SABMiller afanya ziara TBL Group nchini

Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam ,Calvin Martin akimtembeza   Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa ...


Meneja wa Kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam ,Calvin Martin akimtembeza  Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji

Meneja uzalishaji wa chibuku Tito Kasele, akimuonyesha Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji.Olga yuko nchini kwa ziara ya kikazi
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova  (kushoto) akimsikiliza Meneja Ufundi wa kiwanda cha Konyagi Khadija Madambi (Kulia) wakati alipotembelea kiwandani hapo jana kuona shughuli za uzalishaji,wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Konyagi Mike  Benjamin na wengine pichani ni maofisa waandamizi wa kampuni hiyo
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova akitembezwa kwenye mitambo ya TBL Ilala
Mkurugenzi wa chapa ya vinywaji vinavyotengenezwa na viwanda vilivyopo chini ya kampuni ya SABMiller kanda ya Ulaya  Olga Loskutova akitembezwa na Maofisa wa TBL Group kwenye moja ya baa inayouza vinywaji  vinavyotengenezwa na kampuni hiyo maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
Olga Loskutova pia alitembelea duka linalouza Chibuku kwa jumla
Akifanya majadiliano na maofisa wa TBL Group katika moja ya baa waliyoitembelea

Related

Hot Stories 7551773986004419549

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item