BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TRL WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA TRL WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM

 Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa   katika  mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dala...


 Wafanyakazi wa Kampuni ya Shirika la Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwafikishwa   katika  mahakama ya  Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Dalaam tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la  tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka. (PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA)
Baadhi wa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli nchini Tanzania (TRL), wakiwa katika chumba cha mahakama ya Kisutu tayari kwa kusomewa mashitaka 9 yanayo wakabili likiwemo la  tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, wapili kulia ni aliyekuwa Mkurugenzi wa shirika hilo,  Mhandisi Kapallo Kisamfu

Related

Hot Stories 6216793465919123864

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item