BASI LA NATA RAHA LAPATA AJALI BUNDA LEO ASUBUHI | LUKAZA BLOG

BASI LA NATA RAHA LAPATA AJALI BUNDA LEO ASUBUHI

  Watu wanne wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia...

 Watu wanne wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa wajeruhiwa leo asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga nguzo eneo la Kwa Sabato, Bunda. Mganga Mkuu Nicholas Machochota athibitisha kutokea kwa vifo hivyo, pia majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya Bungando kwa matibabu zaidi.


ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA ZAIDI

CHANZO: ITV TANZANIA

Related

Hot Stories 46148653327949118

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item