GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI | LUKAZA BLOG

GARI YA WIZI YAKAMATWA NACHINGWEA MKOANI LINDI

Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani  lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ...


Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani  lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ya awali ya gari  hiyo ni TRIM na mmiliki wake halali ni ABDALA MOHAMED MCHONDA P.O.BOX  1370 DAR ES SALAAM. Namba original za gari ni T 223 CUX. Yeyote mwenye taarifa ya kupotea gari yenye maelezo hayo awasialiane na Polisi  Nachingwea kupitia RTO LINDI [0658 376074].Imeandaliwa na RSA na Dj Sek

Related

kitaifa 210451225483730891

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item