Happy Birthday Abdallah Mrisho | LUKAZA BLOG

Happy Birthday Abdallah Mrisho

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho. LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo...

10407767_1007080585970819_4642943150278762133_n
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho.
LEO ni siku muhimu sana kwa Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Meneja Mkuu wetu, Abdallah Mrisho.
12729167_540816069426367_7128857001330784507_n
Abdallah Mrisho akiwa katika pozi.
Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa wafanyakazi wote wa Global Publishers Ltd na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

Happy Birthday Abdallah Mrisho!

Related

Kijamii 246094271674656598

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item