HILI NALO NI JIPU LASUBIRIWA KUTUMBULIWA:: TANESCO YAPUUZIA WITO WA WANANCHI, KUHUSIANA NA NGUZO HATARISHI | LUKAZA BLOG

HILI NALO NI JIPU LASUBIRIWA KUTUMBULIWA:: TANESCO YAPUUZIA WITO WA WANANCHI, KUHUSIANA NA NGUZO HATARISHI

Wananchi wa Eneo la Tegeta Nyuki Jijini Dar es Salaam wamelilalamikia Shirika la TANESCO kushindwa kutatua Kero ya Nguzo ambayo inahataris...

Wananchi wa Eneo la Tegeta Nyuki Jijini Dar es Salaam wamelilalamikia Shirika la TANESCO kushindwa kutatua Kero ya Nguzo ambayo inahatarisha Maisha ya wakazi Hao katika eneo hilo kwa zaidi ya Miaka 8 hivi sasa, nguzo hiyo imesogelea Kibanda cha Biashara na kusababisha hali ya Sinto fahamu kufuatia usalama wao.
Uzembe wa Nani?
Wakizungumza na Mtandao huu wakazi wa Eneo hilo wamedai yakuwa Taarifa walisha peleka katika sehemu husika lakini Hadi leo hii ni mwaka wa Nane Bila ya Mafanikio.
Uzembe wa Nani?
Mwaka 2008 wakazi hao waliiandikia Tanesco Barua ya kufanya Marekebisho ya Kuomba Kuondoa Mstimu huo lakini hadi leo Mamlaka hiyo haijafanya hivyo, Ila Mwaka 2015 mwishoni Tanesco ilifika eneo la tukio na kuangalia tu na kuondoka bila ya kufanya Marekebisho yoyote.
Uzembe wa Nani?
Je kwa hali hii Tunangojea Maafa au Hasara Itokee Ndio tukimbilie? Tunaiomba Mamlaka Husika Iweze Kuchukua Hatua za Haraka kurekebisha hili kabla ya Maafa hayajaweza Kutokea.

Related

kitaifa 7363687798066372192

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item