Je wewe ni Msanii basi soma hapa | LUKAZA BLOG

Je wewe ni Msanii basi soma hapa

Je wewe ni msanii wa bongo fleva au bongo movies? Je wewe ni  designer? Je wewe ni mdau katika game hii ya entertainment? Kama  ndivyo ba...

Je wewe ni msanii wa bongo fleva au bongo movies? Je wewe ni designer? Je wewe ni mdau katika game hii ya entertainment? Kama ndivyo basi kama una story kali, ngoma mpya, project matata basi share nasi hapa Vibe Magazine na sisi tutairusha kwenye toleo letu la kila mwezi. kumbuka tutumie picha yenye viwango vikubwa, story yenyewe kwa ufupi pamoja na contacts zako. Kumbuka Vibe Magazine ndio gazeti la burudani linaloongoza Tanzania. tuma kwenda vibemagazinetz@gmail.com

Related

kitaifa 7166524464016575006

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item