KITUO CHA MABASI MASASI SASA SAFI, WAHUSIKA WAAMKA BAADA YA KUMULIKWA | LUKAZA BLOG

KITUO CHA MABASI MASASI SASA SAFI, WAHUSIKA WAAMKA BAADA YA KUMULIKWA

Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani Wilayani Masasi yaendelea Kuboreshwa kwa kufanyiwa Usafi wa Hali yajuu. Leo hii Baada ya Kamer...

Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani Wilayani Masasi yaendelea Kuboreshwa kwa kufanyiwa Usafi wa Hali yajuu.

Leo hii Baada ya Kamera ya Lindiyetu.com kupita majira ya asubuhi ilikuta eneo hilo ambalo hapo jana lilikuwa limetapakaa Uchafu wa Kila aina likiwa Safi Kabisa.

KAMA ULIPITWA NA POST HIYO BOFYA HAPA KUANGALIA UCHAFU ULIOKUWEPO 

Hii inaonesha kabisa Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji wa Masasi amedhamiria kuepuka aibu ambayo ilikuwa inakuja siku za usoni kwani eneo hilo lipo katikati ya Mji huo hivyo kuonekana kirahisi na Kuleta Picha mbaya.

Tunaipongeza Halmashauri ya Mji ambayo imelichukua jambo hili kwa Umakini mkubwa hadi kufikia Kuweka Greda ambalo lilikutwa likifanya kazi ya kuendelea kuweka Mazingira sawia katika Stend kuu hiyo.

UNAWEZA BOFYA PLAY KUTAZAMA VIDEO HAPO CHINI
HONGERENI SANA...!!!

Related

kitaifa 6796090999646251396

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item