KOMREDI KINANA ATINGA SINGIDA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM | LUKAZA BLOG

KOMREDI KINANA ATINGA SINGIDA KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 39 YA CCM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida LEO JIONI, kwa ajil...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida LEO JIONI, kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika mkoani Singida Februari 6, mwaka huu.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wananchini.
 Komredi Kinana akisalimiana na Kone.
 Komredi Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya kuwasili Singida leo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Nape Nnauye akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida leo
 Komredi Kinana akiwa na baadhi ya wananchi wa Singida waliomlaki
 Komredi Kinana na Nape wakiwa na wafuasi wa CCM pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Singida.
 Komredi Kinana akiwa na Kone (kulia) na Amanzi
 Wananchi wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Komredi Kinana
Komredi Kinana akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Kone

Related

Siasa 4072423182466080805

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item