MO DEWJI BLOG YAWANASA LIVE WAFANYAKAZI WA TAMBAZA WAKIOMBA RUSHWA (PICHA&SAUTI) | LUKAZA BLOG

MO DEWJI BLOG YAWANASA LIVE WAFANYAKAZI WA TAMBAZA WAKIOMBA RUSHWA (PICHA&SAUTI)

Agizo la serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo inatekel...

Agizo la serikali kuzuia usafiri wa bodaboda mjini umegeuka kuwa kitega uchumi kwa baadhi ya vijana walioajiriwa kuhakikisha agizo inatekelezwa.
Hii imethibitika baada ya mwandishi wa Mo Dewji Blog kufumania tukio la vijana wa jiji wakidai rushwa wazi wazi bila woga kwa mwendesha pikipiki wa magurudumu watatu maarufu kama bajaji.

Kachero wetu (jina limehifadhiwa) alifanikiwa kupata picha za wala rushwa pamoja na kunasa sauti za tukio lote.
IMG-20160203-WA0009
Baadhi ya wafanyakazi wa Tambaza wakiwa pembezoni ya barabara katika daraja la Salenda.
IMG-20160203-WA0010
Mmoja wa mfanyakazi wa Tambaza akisimamisha bajaji.
IMG-20160203-WA0014

IMG-20160203-WA0015
Wafanyakazi wa Tambaza wakizungumza na dereva wa bajaji na kumuomba rushwa ya shilingi 10,000
IMG-20160203-WA0012
Wafanyakazi wa Tambaza (walio na mashati ya rangi nyeupe) wakizungumza na dereva wa bajaji Sikiliza sauti iliyorekodiwa wakati wa tukio na mwandishi wa Mo Dewji Blog

Related

kitaifa 4041407531169413362

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item