MRAMBA, YONA WAANZA KUTEKELEZA ADHABU YA KUFAGIA HOSPITALI YA SINZA-PALESTINA LEO | LUKAZA BLOG

MRAMBA, YONA WAANZA KUTEKELEZA ADHABU YA KUFAGIA HOSPITALI YA SINZA-PALESTINA LEO

Mawaziri wa zamani kwenye serikali ya awamu ya kwanza na ya tatu, Basil Mramba (kushoto) na mwnzake Daniel Yona,(mwenye shati la drafti)...


Mawaziri wa zamani kwenye serikali ya awamu ya kwanza na ya tatu, Basil Mramba (kushoto) na mwnzake Daniel Yona,(mwenye shati la drafti), wakikabidhiwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi katika Hospitali ya Sinza-Palestina, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Februari 8, 2016. Hatua hiyo ni utekelezaji wa adhabu ya kifungo cha nje na kutumikia jamii iliyotolewa na Mahakama ya HakimuMkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita kufuatia maombi ya Jeshi laMagereza kubadilisha adhabu ya kifungo cha miaka mitatu (3) jela na kuwa cha nje. Mramba aliyewahi kuwa waziri wa fedha kwenye utawala wa Benjamin Mkapa, na Yona aliyepata kuwa waziri wa Nishati na Madini kwenye utawala huo huo, waliadhibiwa na mahaka baada ya kuitia hasara serikali zaidi ya dola bilioni 11 kufuatia misamaha ha kodi kwa kampuni ya Uingereza ya Alex Stewart.

Wawili hao watalazimita kufanya usafi kwa muda wa masaa manne (4) kila siku kwa siku tano za wiki, (Jumatatu hadiIjumaa), hadi hapo kifungo chao kitakapomalizika

Related

kitaifa 5145576833270759155

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item