News Alert: Gari la kubeba kontena laangukia magari mchana huu eneo la Tabata Mataa | LUKAZA BLOG

News Alert: Gari la kubeba kontena laangukia magari mchana huu eneo la Tabata Mataa

Moja ya gari linalobeba kontena likiwa limelidondokea basi la abiria aina ya DCM linalofanya kazi zake Gongo la Mboto na Ubungo katika en...

Moja ya gari linalobeba kontena likiwa limelidondokea basi la abiria aina ya DCM linalofanya kazi zake Gongo la Mboto na Ubungo katika eneo la Tabata Mataa muda mfupi uliopita mpaka tunaenda hewani hakuna idadi ya waliopoteza maisha lakini tunaendelea kufuatilia huku ikisemekana magari sita yakiwa yamepata madhara baada ya kuangukiwa na gari hilo

 Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR limepiga mweleka na kuangukia basi la abiria aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 104 BCT lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto mpaka Simu 2000 mapema leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini Dar es salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii ila kuna watu kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
 Linavyoonekana Lori hilo baada ya kupiga mweleka leo.
 Lionekavyo Daladala hilo baada ya kungukiwa na Lori hilo.
Sehemu ya Mashuhuda.Picha kwa hisani ya Michuzi Blog

Related

Hot Stories 2814900392777357662

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item