News Alert:WAZIRI ANGELLA KAIRUKI AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA NA WATENDAJI WENGINE | LUKAZA BLOG

News Alert:WAZIRI ANGELLA KAIRUKI AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA NA WATENDAJI WENGINE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angella Kairuki amemsimamisha kazi Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Said Nassoro...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angella Kairuki amemsimamisha kazi Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Said Nassoro kwa kushindwa kusimamia watendaji wake pamoja na watumishi wengine wawili Silvanus Ngata mtumishi wa makao makuu na bwana Joseph Mbwilo mkuu wa chuo cha Kampasi ya Dar es Salaam.

Related

Hot Stories 5188279885455254028

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item