NI TAMU KUSIKILIZA NA HAICHOSHI MASIKIONI. HII NI NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII BITTO KITUKUU | LUKAZA BLOG

NI TAMU KUSIKILIZA NA HAICHOSHI MASIKIONI. HII NI NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII BITTO KITUKUU

Katika anga la Muziki wa Hip Hop nchini Tz, imedondoshwa ngoma mpya kutoka kwa Msanii Bitto Kitukuu. Ngoma inaitwa "Wapekee". N...

Katika anga la Muziki wa Hip Hop nchini Tz, imedondoshwa ngoma mpya kutoka kwa Msanii Bitto Kitukuu. Ngoma inaitwa "Wapekee". Ni ngoma tamu na isiyochosha kusikiliza masikioni.

Mimi binafsi nimebaini kwamba, ukianza kuisikiliza ngoma hiyo, huwa unatamani uirudie mara kwa mara na uzuri wake ni pale inaponoga zaidi ikifika mwishoni na hivyo kutamani kuisikiliza tena.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUISIKILIZA.

Na George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group

Related

Burudani 6944279587506237253

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item