TAFRANI YA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI MAPEMA LEO | LUKAZA BLOG

TAFRANI YA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI MAPEMA LEO

 Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv  Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda ...

 Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv  Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
 Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.

Related

Hot Stories 5459313613863756347

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item