Tovuti ya Proin Promotions yavamiwa, Kurudi hewani mara baada ya tatizo kushughulikiwa | LUKAZA BLOG

Tovuti ya Proin Promotions yavamiwa, Kurudi hewani mara baada ya tatizo kushughulikiwa

Tunasikitika kuutangazia umma wa watanzania na wadau wetu kwa ujumla kuwa tovuti yetu ya www.proinpromotions.co.tz imevamiwa na watu w...


Tunasikitika kuutangazia umma wa watanzania na wadau wetu kwa ujumla kuwa tovuti yetu ya www.proinpromotions.co.tz imevamiwa na watu wanaojiita Classic Flame kwa kitaalamu kunaitwa Hacked.

Timu nzima ya Proin Promotions Ltd inapenda kuwataarifu kuwa wadau wetu kuwa tunalifanyia kazi na kuhakikisha tunaongeza ulinzi katika tovuti yetu na kuirudisha hewani. Tunatarajia baada ya kuirudisha hewani itakuwa imara zaidi na zaidi na tunaamini hii ni changamoto tu katika sekta ya teknolojia.

Tunawaahidi kuwa tovuti yetu itarudi hewani mara baada ya wataalamu wetu kulishughulikia hilo tatizo kwani ni tatizo ndogo.

Related

Hot Stories 2967624771024131853

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item