TSOI WAFANYA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAFUNZI WA KIKE TOKA VYUO VIKUU NA TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU JUU KUTOKA MKOA WA DAR ES SALAAM. | LUKAZA BLOG

TSOI WAFANYA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAFUNZI WA KIKE TOKA VYUO VIKUU NA TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU JUU KUTOKA MKOA WA DAR ES SALAAM.

Mbunifu wa kazi za ufumaji na mmiliki wa Fflorinyan Designes Ms. Flora M. Kawa akizungumza jambo katika uzinduzi wa semina ya siku moja y...

Mbunifu wa kazi za ufumaji na mmiliki wa Fflorinyan Designes Ms. Flora M. Kawa akizungumza jambo katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Mshauri kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dk. Dominista Kombe akitoa semina kuhusu ugonjwa wa Saratani pamoja na madhara yake wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa TASOI, Bi. Belinda Mlingo akiwaonesha pesa wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu na kuwahasa wanafunzi kujihusisha na ujasiliamali maana ndio mafanikio yao ya baadae.
Mwanachuo Doreen Tesha akiuliza swali wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo NSSF Bw. Abubakar Mshangama akiwaelezea  wanvyuo umuhimu wa mfuko wa NSSF katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Women Connect (T) LTD, Bi Pili Mpenda akizungumza na waandishi wa habari
Bi. Hafsa Athmani Semndaia kutoka Women Connect (T) LTD akitoa ufafanuzi kwa mmoja wa washiriki waliofika katika ufunguzi huo uliofanyika katika chuo kikuu Huria 
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye ufunguzi huo

Related

Hot Stories 4618812950096606073

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item