UJUE MTUNGI WA FAYA ULIOJAZWA NA ULIOTUPU/AMBAO GESI IMEKWISHA | LUKAZA BLOG

UJUE MTUNGI WA FAYA ULIOJAZWA NA ULIOTUPU/AMBAO GESI IMEKWISHA

Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto Mtungi uliotupu kwa maana ya kwamba mshale wake umerudi kushoto kama  unao kwenye gari lako,ofisini au ...

Mtungi uliojaa kwa kuzima Moto

Mtungi uliotupu kwa maana ya kwamba mshale wake umerudi kushoto kama  unao kwenye gari lako,ofisini au nyumbani ujue hilo ni kopo tu hautakusaidia chochote kuzima moto. Sana sana utautumia kuwadanganya askari na wakaguzi wasiojua tu. Kwa ufupi 


unajidanganywa wewe mwenyewe. Mtungi ulioactive kwaajili ya kuzima 


 moto mshale wake utakuwa kwenye green (kijani). Ikiwa mshale utakuwa 
kulia mwa alama ya kijani mtungi huu umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog

Huu ni mtungi ambao hauna ujazo wowote na hauwezi kuzima moto kwa namna yoyote ile

Related

Makala 4311081882448442706

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item