Vijana wa Dar wamtaka Rais Magufuli aongee nao, ni baada ya kuongea na Wazee | LUKAZA BLOG

Vijana wa Dar wamtaka Rais Magufuli aongee nao, ni baada ya kuongea na Wazee

Shirika la TAFEYOCO (Tanzania Feminist and Youth Change Organization ) linalojihusisha na maswala ya Wanawake na vijana katika kutatua chan...

Shirika la TAFEYOCO (Tanzania Feminist and Youth Change Organization) linalojihusisha na maswala ya Wanawake na vijana katika kutatua changamoto zao kiuchumi, kisiasa na kijamii limemuomba Mhe Rais apange muda wa kuonana na vijana wa mkoa wa Dar es salaam kama alivyofanya kwa wazee.

Wakizungumza jijini Dar es Salaam mapema leo Februari 18, vijana hao kupitia Mwenyekiti wao Elvice John Makumbo wamebainisha kuwa miaka yote viongozi wa nchi ukutana na wazee na kusikiliza changamoto zao lakini kwa sasa Tanzania idadi kubwa ya watu ni vijana na ndio waliokuwa wanakesha na kuyalilia mabadiriko haya tunayoyaona kipindi hiki hivyo tunamuomba Mhe Rais akutane na vijana na kusikiliza changamoto zao na ushauri kwenye utendaji wake.

Tazama hapa kupitia Mo tv Online

vijanaMwenyekiti wa Shirika la TAFEYOCO, Elvice John Makumbo akiongea na wanahabari mapema leo jijini Dar es Salaam (Picha/Video na Andrew Chale,modewjiblog).
Soma zaidi taarifa hiyo hapa:

Related

kitaifa 3359088873929091698

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item