Wafanyakazi wa TBL wapima afya zao na kufanya mazoezi ya viungo | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi wa TBL wapima afya zao na kufanya mazoezi ya viungo

  Mkurugenzi Mtendaji wa TBL GROUP Roberto Jarrin. Akishiriki mazoezi pamoja na wafanyakazi wenzake wakati wa     siku ya Afya kwanza...

 Mkurugenzi Mtendaji wa TBL GROUP Roberto Jarrin. Akishiriki mazoezi pamoja na wafanyakazi wenzake wakati wa  siku ya Afya kwanza yaliyofanyika kaitika viwanja vilivyopo eneo la kiwanda hicho  jijini Dar es Salaam,
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiwekea alama za kupimwa afya zao  wakati wa maadhimisho ya  siku upimaji wa Afya , yaliyombatana na mazoezi  kwa wafanyakzi wote  wa kampuni hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) wakishiriki katika mazoezi ya viungo wakati wa Maadhimisho ya siku ya Afya Kwanza yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mtaalamu wa mazoezi ya Viungo wa Kituo cha Fitness Centre Chang’ombe ,Payas Moremi (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania (TBL)  wakati wa  mazoezi  yaliyowashirikisha wafanyakazi hao  jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya  maadhimisho ya  siku ya upimaji wa afya ( Afya Kwanza)
 Waandaaji wa maadhimsho ya siku ya Afya kwanza kwa wafanyakazi wa TBL Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja,
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL Group, Roberto Jarrin.(Kulia) akimsikiliza mtaalamu wa mazoezi kutoka Kituo cha Fitness Centre, Payas Moremi (kushoto) jinsi ya kufanya mazoezi wakati wa Siku ya Afya kwanza  kwa wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .katikati ni Afisa Mwandamizi wa TBL Oscar Shelukindo.

Related

Kijamii 6510741307682246793

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item