Wauzaji wadogowadogo wa bidhaa za TBL Group wapigwa msasa wa elimu ya biashara,Ni kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa mafanikio | LUKAZA BLOG

Wauzaji wadogowadogo wa bidhaa za TBL Group wapigwa msasa wa elimu ya biashara,Ni kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa mafanikio

  Wamiliki wa biashara za vinywaji    wa mjini Moshi wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara,Nyakahija Manyama    wa...

 Wamiliki wa biashara za vinywaji  wa mjini Moshi wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara,Nyakahija Manyama  wakati wa mafunzo maalumu ya kuboresha biashara zao  yaliyoandaliwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika hoteli ya Leopard ya mjini Moshi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wa mafunzo haya wakiwa katika picha  baada ya kutunukiwa vyeti

Related

kitaifa 7384662939879347280

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item