Afrika Mashariki yatikiswa na Mbunifu Makeke kutoka Tanzania | LUKAZA BLOG

Afrika Mashariki yatikiswa na Mbunifu Makeke kutoka Tanzania

Msanii wa mitindo kutoka Tanzania JOCKTAN  MAKEKE jana kafanya maajabu tena kwenye jukwaa la mitindo la AFRICA FADHION WE...


Msanii wa mitindo kutoka Tanzania JOCKTAN  MAKEKE jana kafanya maajabu tena kwenye jukwaa la mitindo la AFRICA FADHION WEEK 2016 ambalo limefanyika nairobi katika hitol ya boma na limehusisha nchi zote za jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI , Tanzania, Kenya , Uganda, Rwanda , Burundi na sudani kusini .Kama kawaida ya makeke kaendelea kukimbiza na collection yake ya THE AFRICAN BEAUTY IN THE DARKNESS (TABID) au kwa kiswahili ni uzuri wa afrika gizani , makeke amesema kuwa ametumia giza kuwakilisha utamaduninwa kimagharibi ambao kwa sasa umekuwa umeivamia afrika kwa kasi ya ajabu kitu ambacho kinafanya waafrija wengi kujisahau na kujiona tayaru wamekuwa wa marekani, lakini licha ya kuwepo kwa giza nene bado afrika ina shine kwan kuna tamaduni ambazo zinafaa kuigwa zaidi na mataifa mengine, Runway iliambatana na wimbo wa SIZONJE wa mrisho mpoto ili kukamilisha radha ya KIAFRIKA  Makeke aliongozana na wanamitindo wawili, Paulina mgeni na Violet Peter ambao pia wameiwakilisha Tanzania vyema mno na kukutana na fursa mbalimbali kwenye agency za wanamitindo kubwa  afrika mashariki, katika kufanikisha hilo MAKEKE katoa shukrani za dhati kwa 8020 FASHION , BONGO 5, SUPER NEWS na watanzania wote walioonyesha support ya nguvu...★★★

Related

kitaifa 2316243813243987370

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item