BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI MWAKYEMBE | LUKAZA BLOG

BALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI MWAKYEMBE

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Dianna Melro...

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akiongea na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose alipomtembelea ofisini kwake leo (17/3/2016) jijini Dar Es Salaam kwa mazungumzo.
Balozi wa Uingereza nchini Mhe. Dianna Melrose akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya sheria nchini.

Related

kitaifa 1614273730358382538

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item