Basi la Super Sami lapiga mweleka Wilaya ya Igunga | LUKAZA BLOG

Basi la Super Sami lapiga mweleka Wilaya ya Igunga

Ajali imetokea Wilayani Igunga ikihusisha basi la Super Sami lililokulikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam.  Chanzo cha ajali hi...

Ajali imetokea Wilayani Igunga ikihusisha basi la Super Sami lililokulikitokea Mwanza kwenda jijini Dar es Salaam. Chanzo cha ajali hiyo ni Dereva alipokuwa akitaka kukwepa Ng'ombe na  gari likamshinda na kuanguka na kusabaisha ajali hiyo.

Watu wakielekea kwenye gari lililopata ajali leo Wilayani Igunga.

Related

Hot Stories 8216682906964741047

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item