FILAMU YA DIGITAL PASTOR KUWA MTAANI JUMATATU | LUKAZA BLOG

FILAMU YA DIGITAL PASTOR KUWA MTAANI JUMATATU

Digital Pastor ni filamu kali ya Kitanzania ambayo itakua mtaani nchi nzima kuanzia Tar. 7 mwezi Machi jumatatu , ni DIGITAL PASTOR hai...

luf
Digital Pastor ni filamu kali ya Kitanzania ambayo itakua mtaani nchi nzima kuanzia Tar. 7 mwezi Machi jumatatu , ni DIGITAL PASTOR haijawahi tokea sanamu kuongea mti kuongea yote hayo yamo kwenye DIGITAL PASTOR imetengenezwa na kampuni ya kutengeneza filamu ya Lufedha Film Co humo wamo washiriki kama Beni Branco. mchekeshaji maarufu Senga. Salehe Lufedha. Modesti Bafite. nawengine wengi filamu hiyo ya DIGITAL PASTOR.

Related

Filamu 3806336227483219734

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item