Huu ndio ukumbi ambao Tunzo za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zinapotolewa huko Nigeria | LUKAZA BLOG

Huu ndio ukumbi ambao Tunzo za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zinapotolewa huko Nigeria

Hapa ni set up za ukumbi wakati ukiandaliwa kwaajili ya utoaji wa tunzo za filamu za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zi...

Hapa ni set up za ukumbi wakati ukiandaliwa kwaajili ya utoaji wa tunzo za filamu za African Magic Viewers Choice Awards 2016 zinazofanyika muda huu huko jijini Lagos Nchini Nigeria..Katika mashindano hayo filamu za Tanzania zilizofanikiwa kuingia ni Mpango Mbaya iliyoandaliwa na Stanford Kihole kutoka Proin Promotions, Mapenzi ya Mungu ya Elizabeth Michael aka Lulu iliyopo Proin Promotions, Kitendawili ya Rich Rich iliyotoka Proin Promotions na Dady's Wedding iliyotoka Proin Promotions filamu hizo zote zipo katika Kipengele cha Best East Africa Film huku Kitendawili ikiwa katika kipengele kingine cha Best Indigeneous Language Swahili

Tunawatakia kila la Heri na tunaamini mtarudi na Ushindi

Related

Hot Stories 5946625809130806263

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item