Izzo Bizness Apagawisha wakazi wa Mbeya kwenye Tamasha la Pasaka | LUKAZA BLOG

Izzo Bizness Apagawisha wakazi wa Mbeya kwenye Tamasha la Pasaka

Msanii Emmanuel Simwinga maarufu “ Izzo Bizness “ akitumbuiza kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mb...

Msanii Emmanuel Simwinga maarufu “ Izzo Bizness “ akitumbuiza kwenye tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.

 Izzo Bizness  akishow love kwa mashabiki zake tamasha la pasaka la home Sweet Home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.

Mamia ya mashabiki wakifurahia burudani toka kwa Izzo  Bizness
Yani ilikuwa shangwe wakati Izzo Bizness akitumbuiza jukwaani kwenye  tamasha la pasaka la home sweet home lililodhaminiwa Tigo jijini Mbeya jumapili iliyopita.

Related

Burudani 2263812845959505010

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item