KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA JANGO ZAIDA ORPHANAGE CENTRE CHAPATIWA MSAAADA | LUKAZA BLOG

KITUO CHA KULEA WATOTO YATIMA CHA JANGO ZAIDA ORPHANAGE CENTRE CHAPATIWA MSAAADA

 Watoto Wanaoishi kwenye Kituo cha Jango zaidi Orphanage sinza jijini Dar es salaam wakiwa Katika Picha ya Pamoa leo walipotembelewa na Wad...

 Watoto Wanaoishi kwenye Kituo cha Jango zaidi Orphanage sinza jijini Dar es salaam wakiwa Katika Picha ya Pamoa leo walipotembelewa na Wadau waliosoma Pamoja Shule ya Sekondari Bwawani.
 Baadhi ya Vitu mbalimbali vilivyotolewa.
 Wadau waliosoma Shule ya Sekondari Bwawani wakiwa kwenye Picha ya Pamoja na Mama Mlezi wa Kituo cha Watoto Yatima cha Jango Zaida Orphanage centre  walipokitembelea kituo hicho na Kutoa Msaada ya Vitu MBalimbali kwajili ya Kusaidia Kutatua Changamoto Mbalimbali zinazokikabili kituo hicho.


Picha ya Pamoja na watoto wanaoishi katika Kituo Hicho

Related

Kijamii 638131659141260519

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item