Kongamano la Moyo wa Mwanamke | LUKAZA BLOG

Kongamano la Moyo wa Mwanamke

Katika kuelekea siku ya mwanamke Duniani Kanisa la Living Water Centre Kawe kupitia huduma ya Wamama kanisani hapo ikiongozwa na mmbeba m...

Katika kuelekea siku ya mwanamke Duniani Kanisa la Living Water Centre Kawe kupitia huduma ya Wamama kanisani hapo ikiongozwa na mmbeba maono Mwalimu Lilian Ndegi wameandaa Kongamano linalojulikana kama “Kongamano la Moyo Wanawake”


Kongamano hilo huwa linalofanyika mara moja kila mwaka Katika Kanisa la Living Water Centre Kawe chini ya mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi na Mwalimu Lilian Ndegi,Kongamano hili ni kwa kusudi la kuwajenga Wanawake kuwa na uwezo katika kumtumika Mungu na kujua nafasi yao ya kutumika aliyowapa katika ufalme Mungu.


Theme ya mwaka huu ni Mwanamke Mjenzi Mithali 14:1 Kusudi kuu la Kongamano ni Kuwafanya Wanawake kuwa watendaji katika ufalme wa Mungu na wawajibikaji na watekelezaji wa majukumu katika ngazi ya Familia,Huduma,Jamii na Taifa kwa ujumla. Waimbaji Women of The Kingdom,Living Waters,More than Enough Band na wengine wengi. Karibuni sana.
Mawasiliano 0713 580 400 

Related

Mapenzi 803656412340203004

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item