Mkurugenzi Mkuu TBL Group,wafanyakazi washiriki mbio za Kilimanjaro Marathon | LUKAZA BLOG

Mkurugenzi Mkuu TBL Group,wafanyakazi washiriki mbio za Kilimanjaro Marathon

  Wazari wa  Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye ( kushoto) akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group  Roberto J...


 Wazari wa  Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye ( kushoto) akibadilishana mawazo na  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group  Roberto Jarrin baada ya kumalizika mashindano ya Kilimanjaro Marathon mwishoni mwa wiki.
Wafanyakazi wa TBL Group  wakiwa kwenye mbio
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group  Roberto Jarrin ( kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye  muda mfupi kabla ya kuanza mashindano hayo.
Waziri Nape Nnauye akisikiliza risala muda mfupi kabla ya kutangazwa washindi wa mashindano hayo
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group  Roberto Jarrin ( wa pili kushoto)  akiwa na Maofisa waandamizi wa kampuni hiyo waliposhiriki  mbio za kilomita 5  za mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.Bia ya  Kilimanjaro inayotengenezwa na kampuni hiyo  ndio ilikuwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo

Related

Hot Stories 2712499268066888738

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item