Mkuu wa Wilaya Novatus Makunga afanya mkutano katika wilaya tatu | LUKAZA BLOG

Mkuu wa Wilaya Novatus Makunga afanya mkutano katika wilaya tatu

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe.Novatus Makunga akisisitiza jambo alipokuwa anaongea katika mkutano maalumu wa ujirani mwema kwa kata,vijiji...

Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe.Novatus Makunga akisisitiza jambo alipokuwa anaongea katika mkutano maalumu wa ujirani mwema kwa kata,vijiji na vitongoji vinavyopakana katika wilaya za Moshi,Simanjiro na Hai.Walioshiriki ni pamoja na waheshimiwa madiwani,viongozi wa madhehebu wa dini,viongozi wa kimila,Watu maarufu,maofisa watendaji wa vijiji na wenyeviti wao pamoja na maofisa watendaji wa kata.
Tumesisitiza na kuweka mkakati wa pamoja katika kutokomeza vitendo vya ujambazi,kuhakikisha kila mtu anafanyakazi,utunzaji wa mazingira,utawala bora,uadilifu kwa viongozi na watendaji wa serikali,utatuzi wa migogoro,uhamasishaji wa kujiunga na mfumo wa afya ya jamii,uundaji wa vikundi vya ujasiriamali na usimamizi wa miradi ya uuma

Related

kitaifa 5170381419566665919

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item