WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA RUSHWA | LUKAZA BLOG

WABUNGE WATATU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KWA TUHUMA ZA RUSHWA

  Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad  pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh....

 
Pichani kutoka kushoto ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad  pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa

 Wabunge watatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,wamefikishwa mahakama ya Kisutu hivi punde kwa tuhuma za rushwa,Wabunge hao kama waoenekanavyo pichani ni Mbunge wa Mwibala,Mh.Kangi Lugola,Mbunge wa Mvomero Mh.Sadiq Murad pamoja na Mbunge wa jimbo la Lupa Mh.Victor Mwambalaswa

TAARIFA KAMILI ITAWAJIA HAPO BAADAE KIDOGO .

Related

Hot Stories 7648115856289693602

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item