Wafanyakazi TBL wafurahia burudani za usiku wa mwambao | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi TBL wafurahia burudani za usiku wa mwambao

Wapagaishwa na burudani ya taarabu kutoka kutoka kundi la Jahazi   Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania TBL wakipat...

Wapagaishwa na burudani ya taarabu kutoka kutoka kundi la Jahazi
 Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania TBL wakipata madafu wakati wa  usiku wa mwambao ambao umetayarishwa  kwa ajili ya kuwapatia burudani baada ya saa za kazi uliofanyika jijini Dar es Salaam katika kiwanda cha bia cha Ilala jana.
 Mmoja wa wafanyakazi wa  TBL akimpongeza  mwimbaji ngili wa muziki wa taarabu kutoka  kundi la Jahazi, Leila Rashid  wakati wa tamasha la usiku wa Mwambao  uliowashirikisha wafanyakazi wa kampuni hiyo.
 Mmoja wa wafanyakazi wa  TBL akimpongeza  mwimbaji ngili wa muziki wa taarabu kutoka  kundi la Jahazi, Leila Rashid  wakati wa tamasha la usiku wa Mwambao  uliowashirikisha wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa taarabu  kundi la Jahazi Modern Taarabu , Leila Rashid  akiwapagawisha wafanyakazi wa Kampuni ya TBL wakati wa tamasha la Usiku wa Mwambao
Wakibadilishana mawazo
Wafanyakazi wa TBL wakifuatilia kwa makini burudani za usiku wa mwambao ambao uliandaliwa kwa ajili ya kuwaburudisha baada ya  saa za kazi
Wakifurahia jambo

Related

Burudani 2037039921716672892

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item