Wafanyakazi wanawake wa TBL Group wa Mwanza,Mbeya na Arusha wapatiwa elimu ya mafanikio | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi wanawake wa TBL Group wa Mwanza,Mbeya na Arusha wapatiwa elimu ya mafanikio

  Baadhi ya washiriki wa Forum wa  Arusha wakiwa na   Bi.Killango   Bi.Anne Killango Malecela akitoa somo   Wanawake wa TBL Arush...

 Baadhi ya washiriki wa Forum wa  Arusha wakiwa na   Bi.Killango
 Bi.Anne Killango Malecela akitoa somo
 Wanawake wa TBL Arusha katika picha ya pamoja na Bi.Killango
 Mkuu wa wilaya ya Kyela Bi.Ntara akitoa somo
 Wafanyakazi washiriki wa Mbeya wakiingia katila eneo la Forum
 Wanawake wa TBL Mbeya wakipata burudani na Mkuu wa wilaya
 Baadhi ya washiriki wa TBL forum Mwanza wakiwa  kwenye picha ya pamoja
 Jaji De-Mello akiongea na wanawake wa TBL Group wa Mwanza
Somo likiendelea kutolewa 
Ni kupitia makongamano ya TBL Forum
Kampuni ya TBL Group mwishoni mwa wiki iliandaa kongamano la kuwajengea uwezo wa mbinu za mafanikio kwa wafanyaazi wanawake katika mikoa ya Arusha,Mbeya na Mwanza ambapowalipata kujifunza mbinu za mafanikio na jinsi ya kujiamini katika  kazi zao.
Wazungumzaji wakuu katika kongamano hilo  la TBL Women Forum walikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Kyela,Bi.Thea Ntara (Mbeya),Bi.Anne Malecela Killango (Arusha) na Jaji Joaquine De-Mello ambao walitumia elimu na uzoefu mkubwa walionao katika kazi kuwaelimisha waawae wenzao mbinu za kupata mafanikio ambapo walisisitiza kufanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi na kujiamini.

Related

Hot Stories 5058636326716607716

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item