Wanafunzi chuo cha ATCL wafanya ziara ya mafunzo TBL, Wapigwa msasa juu ya huduma bora na Afya | LUKAZA BLOG

Wanafunzi chuo cha ATCL wafanya ziara ya mafunzo TBL, Wapigwa msasa juu ya huduma bora na Afya

Mwendesha mitambo ya Upishi wa  vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) James Mruma akitoa maelezo kwa wanafunzi wa ...

Mwendesha mitambo ya Upishi wa  vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) James Mruma akitoa maelezo kwa wanafunzi wa  Chuo cha Air Tanzania Training  Institute  (ATCL) ,wanaosoma  kozi ya kutoa huduma ndani ya  ndege (Cabin Crew) wakati walipotembelea katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam jana kwa ziara ya mafunzo ya usalama wa abiria pamoja na Afya zao.
Wanafunzi wa  Chuo cha Air Tanzania Training  Institute  (ATCL) , Kiongozi wa timu ya upishi vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Andrew Mugasha  wakati  walipofanya ziara ya mafunzo katika kiwanda cha TBL Ilala jijini Dar es Salaam.
08. Kiongozi wa timu ya upishi vinywaji vinavyozalishwa na kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Andrew Mugasha ,kulia akimsikiliza mmoja wa wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training  Institute  (ATCL) alipotaka kujua hatua mbalimbali za uzalishaji vinywaji wakati wa ziara ya mafunzo kwenye kiwanda cha TBL cha ilala jana. 
 Mtaalamu wa kuzalisha bia katika kiwanda cha TBL , Emmanuel Sawe akitoa maelezo kwa wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training wakati walipofanya ziara ya mafunzo kiwandani hapo jana.
 
13.Kiongozi Mkuu wa Wafanyakazi wa Ndege wa Shirika la ATCL, Margaret Makwaia akimuuliza swali Mpishi wa bia,Jastino Jekela (kushoto) juu ya uzalishaji wa vinywaji vinavyozalishwa na Tbl wakati wa ziara ya mafunzo.

Baadhi ya  wanafuzi wa Chuo cha Air Tanzania Training Institute  (ATCL) , wakifuatilia hatua mbalimbali za utengenezaji viywaji wakati walipofanya ziara a mafunzo kwenye kiwanda cha TBL cha Dar es Salaam jana.

Related

Hot Stories 8952454974323497417

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item