Wanawake TBL Group wafanya kongamano la kuadhimisha Siku ya Wanawake | LUKAZA BLOG

Wanawake TBL Group wafanya kongamano la kuadhimisha Siku ya Wanawake

  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group Raberto Jarrin, akiongea na   wanawake     wafanyakazi wa TBL   Group wakati wa kongamano la kuadhimisha  ...

 Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group Raberto Jarrin, akiongea na  wanawake   wafanyakazi wa TBL  Group wakati wa kongamano la kuadhimisha  siku ya wanawake duniani lililofanyika katika ofisi za makao makuu ya kampuni jana jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Masoko wa TBL Group ,Kushilla Thomas  akiongea na wanawake wenzake wakati wa kongamano hilo ka kuadhimisha  siku ya wanawake duniani.
 Meneja wa kuendeleza  Vipaji wa TBL Group  ,Lilian Makau akitoa mada
 Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa TBL Group, Georgia Mutagahywa, (kushoto) akiongea na wanawake wenzake katika kongamano hilo la kuelimishana masuala mbalimbali ya kukabiliana na changamoto zinazorudisha nyuma maendeleo ya akina mama
 Rais wa VICOBA Tanzania, Devotha  Likokola  (kushoto) akivikwa ua kwa kutambua mchango wake wa kupigania kuinua akina mama kiuchumi.
 Baadhi ya akina mama waliohudhuria kongamano hilo wakifuatilia mijadala mbalimbali
 Baada ya kongamano kulikuwepo na burudani za kusherehekea Siku ya Wanawake ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group hakubaki nyuma kusherehekea siku hii  pamoja na wafanyakazi wa kampuni yake ambapo aliamua kucheza muziki kufurahi pamoja nao.
  Mwanamuziki mahiri  wa bendi ya Dorika ,King Movo akitoa burudani baada ya kongamano hilo
Akina kutoka TBL Group wakifuatilia matukio wakati wa kongamano

Related

kitaifa 2468827793568509579

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item