Wanawake TBL Group washiriki michezo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani | LUKAZA BLOG

Wanawake TBL Group washiriki michezo kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

  Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge ,Ajira Vijana na Walemavu Jenesta Mhagama,(kulia) akiwapongeza     wafanyakazi wa Kampun...

 Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge ,Ajira Vijana na Walemavu Jenesta Mhagama,(kulia) akiwapongeza  wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania walioshinda kwenye mashindano ya mbio yaliyofanyika kwenye uwanja wa zamani wa Taifa jiini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.(kushoto) ni Asmath Busigara na Mercy Maliwa.
 Baadhi ya washindi  wa michezo mbalimbali  wakiwa kwenye picha ya  pamoja na wakiwa wanafurahia kinywaji cha Grand Malt
 Wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania ,Asmath Busigara  wa kwanza na Mercy Maliwa, wakikimbia mbio  wakati  wa michezo iliyowashirikisha wanawake iliyofanyika katika uwanja wa taifa wa zamani jijini Dar es Salaam ambao waliibuka na ushindi.Maliwa pia alishiriki mbio za Kilometa 21 kwenye mashindano ya Kili Marathon yaliyofanyika karibuni.
 Baadhi ya wafanyakazi  wanawake wa Kampuni ya  TBL Group, wakishiriki katika mazoezi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa wa zamani jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kilele chake itakuwa  Machi 8
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,Bunge ,Ajira Vijana na Walemavu Jenista Mhagama, (wa pili kutoka kulia) ,akishiriki mazoezi pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya TBL Group,katika uwanja wa Taifa wa zamani mwishoni mwa wiki,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake ambayo  itafanyika  Machi 8

Related

Hot Stories 8771590490448386190

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item