ZIARA YAWAZIRI MKUU, CHATO NA KATORO - GEITA. | LUKAZA BLOG

ZIARA YAWAZIRI MKUU, CHATO NA KATORO - GEITA.

  Waizri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alizeti  wanaushirika wa Chato akiwa katika ziara ya mkoa wa Ge...


 Waizri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mtambo wa kukamu mafuta ya alizeti  wanaushirika wa Chato akiwa katika ziara ya mkoa wa Geita Machi 17, 2016. Kushoto ni Mwenyekiti wa  Ushirika huo Elias Kaswahili. 
 Wasani wa Katoro Geita wakicheza ngoma ya Kisukuma mara baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  Machi 17, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara katika mji wa Katoro , Geita Machi 17, 2016.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

Hot Stories 5862539032967470610

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item