Coca Cola yazindua kampeni ya “Onja Msisimko” | LUKAZA BLOG

Coca Cola yazindua kampeni ya “Onja Msisimko”

Meneja wa kuendeleza masoko ya Coca-Cola nchini Mouren Sikka akiongea na waandishi wa habari  kuhusiana na kampeni ya Onja Msisimko ...

Meneja wa kuendeleza masoko ya Coca-Cola nchini Mouren Sikka akiongea na waandishi wa habari  kuhusiana na kampeni ya Onja Msisimko
 Burudani za kila aina zilikuwepo za kucheza michezo mbalimbali ufukweni,kuogelea na burudani ya muziki
 Zawadi mbalimbali pia zilitolewa
 Baadhi ya waalikwa wakifurahi kwa kupiga picha kwa mapozi mbalimbali
 Wageni waalikwa wakifuatilia burudani mbalimbali katika hafla hiyo
 Burudani za kila aina zilikuwepo ndani ya nyumba
 Baadhi ya wageni waalikwa wakiendelea kupata burudani
 Wageni wakipata chakula katika hafla hiyo
kulikuwepo wageni wa rika zote vijana kwa wazee

Kampuni ya Coca-Cola imezindua  promosheni mpya nchini ya “Onja Msisimko’  jana , hafla kubwa ya uzinduzi ilifanyika katika hoteli ya Ledger Plaza Bahari Beach na kuhudhuriwa na mamia  ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam na mikoa ya jirani.
 
Hafla ya uzinduzi ilisheheni burudani za kila aina ikiwemo muziki kutoka wanamuziki nguli wanaotamba kwa kupiga muziki wa kizazi kipya ambao waliwapatia raha waliohudhuria uzinduzi huo hususani vijana ambao walihudhuria kwa wingi.
 
Akiongea kuhusiana na kampeni hii, mmoja wa maafisa wa Coca Cola nchini Mariam Sezinga alisema kuwa “Onja Msisimko” ni kampeni inayowapatia watumiaji wa kinywaji cha Coca-Cola kupata fursa ya kuelezea uzoefu na furaha wanayoipata kutokana na kutumia  kinywaji hiki.

Related

Biashara 1673168321892703872

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item