EVENT YA "BMG MEET AND GREET LIVE" KUFANYIKA JIJINI MWANZA WIKI IJAYO. | LUKAZA BLOG

EVENT YA "BMG MEET AND GREET LIVE" KUFANYIKA JIJINI MWANZA WIKI IJAYO.

KUTANA NA MARAFIKI ZAKO WA MTANDAONI LIVE BILA CHENGA.  NI KATIKA "BMG MEET AND GREET LIVE" ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI IJAYO APRIL...

KUTANA NA MARAFIKI ZAKO WA MTANDAONI LIVE BILA CHENGA. NI KATIKA "BMG MEET AND GREET LIVE" ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI IJAYO APRIL 09,2016 RIVER SIDE HOTEL KILOLELI JIJINI MWANZA KUANZIA SAA NANE MCHANA NA KUENDELEA!

Wapendwa Wasomaji wa Binagi Blog-BMG, imeandaliwa event ya kuwakutanisha wadau wote ili kufahamiana kwa wasiofahamiana na kusalimiana live kwa wanaofahamiana. 

Mchango kwa kila mshiriki ni shilingi 10,000 tu na utakunywa, kula na kucheza pamoja na Marafiki zako wa mitandaoni kama vile whatsapp, Instagram, facebook pamoja na Binagi Blog-BMG.

NI WAKATI WAKO SASA KUKUTANA NA KUSALIMIANA NA MARAFIKI ZAKO LIVE. 
Zaidi piga simu nambari +255 (0) 757432694 au binagimediagroup@gmail.com

Related

kitaifa 2523203925809214325

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item