Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na mazingira yatembelea kiwanda cha TBL cha Moshi ,Pia watembelea wakulima wa Shahiri Monduli | LUKAZA BLOG

Kamati ya Bunge ya Viwanda,Biashara na mazingira yatembelea kiwanda cha TBL cha Moshi ,Pia watembelea wakulima wa Shahiri Monduli

  Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda,Biashara na Manzigira,Dk Dalaly Kafumu(kushoto) na Makamu wake,Vicky Kamata wakims...

 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge inayohusika na Viwanda,Biashara na Manzigira,Dk Dalaly Kafumu(kushoto) na Makamu wake,Vicky Kamata wakimsikiliza Meneja wa Mawasiliano wa kampuni ya Bia nchini(TBL)Emma Oriyo  wakati wa ziara hiyo. katika ziara hiyo
 Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki.
 Meneja wa kiwanda cha kusindika Kimea cha kampuni ya Bia cha Moshi,Vitus Mhusi akiwasilisha mada kuhusu  kiwanda hicho wakati wa ziara ya wabunge wa Kamati ya Viwanda,Biashara na Mazingira mjini Moshi mwishoni mwa wiki
 Wabunge wakipata maelezo ya  usindikaji kimea kutoka kwa Mkuu wa idara ya Ubora wa kiwanda hicho,Theotime Tengio(kulia) wakati wa ziara ya wabunge hao
Wabunge wakitembele maeneo mbalimbali ya kiwanda

Related

Hot Stories 6283724410653249704

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item